Aslay - Kilangakomo (Official Music Audio) Λήψη

Αποστολή στους φίλους σας
Προσθήκη
 • 11 მაი. 2020

 • Enjoy listening new audio from Aslay called Kilangakomo

Σχόλια

 • antony munene
  antony munene 4 თვის წინ

  Wakenya wapenzi wa Aslay gonga like

 • Daphne K
  Daphne K 4 თვის წინ

  Mimi hata sipatagi likes...leo naomba mzishushe kwa hii kilanga komo wimbo hataree sana 🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤❤❤🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

 • Chuga Comedy
  Chuga Comedy 4 თვის წინ

  I love the song

 • Kevoh Wa Pipeline Transami
  Kevoh Wa Pipeline Transami 4 თვის წინ

  Team 🇰🇪 in the house 👌🏻👌🏻🤞🏻🤞🏻👍🏻👍🏻

 • BEJA SKITS
  BEJA SKITS 4 თვის წინ

  Ngoma Kali bba....Nimeonekana wakwanza uku...

 • mohamed chadi
  mohamed chadi 4 თვის წინ

  Team aslay sijawai fikisha likes kumi, twendeni basi

 • Paul richy
  Paul richy 4 თვის წინ

  Team Aslay❤️Africa weka bendera ya kwako like tusonge🇰🇪

 • Ruth jlo
  Ruth jlo 4 თვის წინ

  Nikupe nini wee malkiaaaaa ndio utulieee nilivyo tuliaaaa team 🇰🇪simu ukipiga laini inatumikaaaa..ok i dedicate it to the one things she/he knows more 😂

 • Daniella Happy
  Daniella Happy 4 თვის წინ

  🤣🤣🤣 like za wa African wote hapa kwangu 💪 Kama auongei Swahili Baki na like yako nahitaji waongea Swahili weweeeeeeee 👌👌👌👌👌

 • Zaina Msangi
  Zaina Msangi 4 თვის წინ

  Wale tunaochagua sura na sio tabia gonga hapa like za mkaka aslay🙏🙏🙏 tuenjoy msic mzuriii

 • Joxiah Mendez
  Joxiah Mendez 4 თვის წინ

  Kidole Kinataka Kuandika Lakini Moyo Unanambia KilangaKomo, Mtoto Wa Watu Ntulie Mie!.. Mapenzi Ayanaga Ufundi Nisije Kujifia.

 • kylie bush
  kylie bush 4 თვის წინ

  Naipenda tu sanaaaa,,,fans wa aslay mko WAP likes zenu🖤

 • Joseph Mutua
  Joseph Mutua 4 თვის წინ

  Kilango komo🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

 • Manu Walker
  Manu Walker 4 თვის წინ

  🥳If you love this song give me alike😁

 • Antony M'imunya
  Antony M'imunya 4 თვის წინ

  Wa kwanza kutazama, wapi likes za Aslay jamani,

 • Sara mwinuka
  Sara mwinuka 4 თვის წინ

  Daaaah nikipata mme wa kunilinda na kunipenda San nitanenepa aslay like kwake

 • ATHUMANI
  ATHUMANI 4 თვის წინ

  Wafipa wapezi wa Aslay gonga like kama buku hivii 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

 • Lucas Mhagama
  Lucas Mhagama 4 თვის წინ

  Daah we jamaa kama nimekupa story yangu vile hasa hapo kwenye kitiki cha blue ila nilishatoka nduki

 • Mazindo Depay
  Mazindo Depay 4 თვის წინ

  Like waafrika.... Ngoma kali na inaujumbe mzuri sanaaa kwa wale ambao wapo kwenye mapenzi tatanishi

 • Queen Nestor
  Queen Nestor 4 თვის წინ

  Mashabiki ake aslay gonga like hapa